sw_2sa_text_reg/18/14.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 14 Ndipo Yoabu aliposema, "sitakusubiri." Kisha akachukua mishale mitatu mkononi mwake na akairusha katika moyo wa Absalomu wakati yu ngali hai na amening'inia katika mwaloni. \v 15 Kisha vijana kumi waliochukua slaha za Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumwua.