1 line
551 B
Plaintext
1 line
551 B
Plaintext
\v 9 Ikatukia kwamba Absalomu akakutana na askari wa Daudi. Absalomu alikuwa amepanda juu ya nyumbu wake na nyumbu akapita chini ya matawi manene ya mti wa mwaloni, na kichwa chake kikanaswa katika matawi ya mti. Akaachwa akining'inia kati ya nchi na anga wakati nyumbu alipoendelea mbele. \v 10 Mtu mmoja akaona lililotukia na akamwambia Yoabu, "Tazama, nilimwona Absalomu akining'inia katika mwaloni!" \v 11 Yoabu akamwambia aliyemwambia kuhusu Absalomu, "Tazama! Ulimwona! Kwa nini haukumpiga hata chini. Ningekupa shekeli kumi za fedha na mkanda." |