1 line
395 B
Plaintext
1 line
395 B
Plaintext
\v 3 Lakini watu wakasema, "Wewe usiende vitani, kwani ikiwa tutakimbia hawatatujari sisi, ama nusu yetu wakifa hawatajari. Lakini wewe ni zaidi ya elfu kumi yetu sisi! Kwa hiyo ni afadhari zaidi ukitusaidia ukiwa mjini." \v 4 Hivyo mfalme akawajibu, "Nitafanya lolote lionekanalo jema machoni penu." Mfalme akasimama kati ya lango la mji wakati jeshi lilipoondoka katika mamia na katika maelfu. |