sw_2sa_text_reg/10/15.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 15 Washami walipoona kwamba wameshindwa na Israeli, walijikusanya pamoja tena. \v 16 Kisha Hadareza akatuma kuleta vikosi vya Washami ng'ambo ya Mto Frati. Wakaja Helamu pamoja na Shobaki, mkuu wa jeshi la Hadareza juu yao.