sw_2sa_text_reg/06/01.txt

1 line
281 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Basi kwa mara nyingine Daudi akawakusanya wateule wa Israeli, elfu thelathini. \v 2 Daudi akainuka na akaenda na watu wake wote waliokuwa pamoja naye kutoka Baala mji ulioko Yuda ili alilete sanduku la Mungu, liitwalo kwa jina la Yahwe wa majeshi, akaaye juu ya makerubi.