sw_2sa_text_reg/23/29.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 29 Helebu mwana wa Baana, Mnetofathi, Itai mwana wa Rabai kutoka Gibea ya Wabenjamini, \v 30 Benaya Mpirathoni, Hidai wa mabonde ya Gaashi. \v 31 Abieliboni Mwarbathi, Azmawethi Mbarhumi, \v 32 Eliaba Mshalboni, wana wa Yasheni, Yonathani mwana wa Shama Mharari;