sw_2sa_text_reg/23/01.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 1 Haya ni maneno ya mwisho ya Daudi-Daudi mwana wa Yese, mtu aliyeheshimiwa sana, aliyetiwa mafuta na Mungu wa Yakobo, mwandishi mzuri wa zaburi wa Israeli. \v 2 "Roho ya Yahwe alisema nami, na neno lake lilikuwa ulimini mwangu.