sw_2sa_text_reg/11/02.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 2 Hivyo ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi akaamka kutoka kitandani na akatembea katika dari la kasri. Akiwa pale akamwona mwanamke aliyekuwa akioga, mwanamke yule alikuwa mzuri sana kwa mwonekano. \v 3 Hivyo Daudi akatuma na kuuliza watu waliomfahamu yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, "Je huyu siye Bathsheba, binti Eliamu, naye si mke wa Uria mhiti?