sw_2sa_text_reg/19/11.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 11 Mfalme Daudi akatuma kwa Sadoki na kwa Abiathari makuhani akisema, "Ongeeni na wazee wa Yuda mkisema, Kwa nini ninyi mmekuwa wa mwisho kumrudisha mfalme kwenye kasri lake tena, kwa vile usemi wa Israeli wote unamtaka mfalme arudi katika kasri lake? \v 12 Ninyi ni ndugu zangu, mwili na mifupa yangu. Kwa nini basi mmekuwa wa mwisho kumrudisha mfalme?'