sw_2sa_text_reg/12/29.txt

1 line
309 B
Plaintext

\v 29 Hivyo Daudi akalikusanya jeshi lote na kwenda Raba; akapigana nao na kuuteka. \v 30 Daudi akachukua taji ya dhahabu kutoka katika kichwa cha mfalme wao iliyokuwa na uzito wa talanta, na ilikuwa na jiwe la thamani ndani yake. Taji ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Kisha akachukua nyara za mji kwa wingi.