sw_2sa_text_reg/11/12.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 12 Hivyo Daudi akamwambia Uria, "Ukae leo pia, kesho nitakuacha uende." Kwa hiyo uria akakaa Yerusalemu siku hiyo na iliyofuata. \v 13 Daudi alipomwita, alikula na kunywa pamoja naye, Daudi akamfanya alewe. Wakati wa jioni Uria akaenda kulala kitandani pake pamoja na watumish wa bwana wake; hakushuka nyumbani kwake.