sw_2sa_text_reg/11/06.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 6 Kisha Daudi akatuma watu kwa Yoabu kusema, "Umtume kwangu Uria mhiti." Hivyo Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi. \v 7 Uria alipofika, Daudi akamuuliza hali ya Yoabu. Jinsi jeshi lilivyokuwa likiendelea, na jinsi vita vilivyokuwa vinaendelea. \v 8 Daudi akamwambia Uria, "Shuka nyumbani kwako, unawe miguu yako. "Hivyo Uria akaondoka katika kasri la mfalme, mfalme akamtumia zawadi kwa Uria.