sw_2sa_text_reg/02/01.txt

1 line
424 B
Plaintext

\v 1 Ikawa baada ya haya Daudi akamuuliza Yahwe, "Je naweza kuupandia mmojawapo wa miji ya Yuda?" Yahweh akamjibu, "Panda." Daudi akauliza, "Niuendee mji upi? Yahwe akajibu, "Hebroni" \v 2 Hivyo Daudi akakwea pamoja na wake zake wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili wa Karmeli, mjane wa Nabali. \v 3 Daudi akawaleta watu waliokuwa pamoja naye, na kila mmoja akaleta familia yake katika mji wa Hebroni walipoanza kuishi.