1 line
614 B
Plaintext
1 line
614 B
Plaintext
\v 20 Ndipo Yoabu alipojibu na kusema, "Iwe mbali, iwe mbali nami, hata nikameze au kuharibu. \v 21 Hiyo si kweli. Lakini mtu kutoka katika nchi ya milima ya Efraimu, aitwaye Sheba mwana wa Bikri, ameinua mkono wake kinyume cha mfalme, kinyume cha Daudi. Mtoeni yeye nami nitauacha mji." Mwanamke akamwambia Yoabu, "Utarushiwa kichwa chake kutoka juu ya ukuta." \v 22 Kisha mwanamke akawaendea watu wote wa mji kwa hekima yake. Wakakiondoa kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumrushia Yoabu. Ndipo alipopiga tarumbeta na watu wa Yoabu wakauacha mji kila mtu nyumbani kwake. Na Yoabu akarejea Yerusalemu kwa mfalme. |