sw_2sa_text_reg/14/28.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 28 Absalomu akaishi Yerusalem miaka miwili pasipo kuona uso wa mfalme. \v 29 Kisha Absalome akatuma neno kwa Yoabu ili ampeleke kwa mfalme, lakini Yoabu hakwenda kwake. Hivyo Absalomu akatuma neno mara ya pili, lakini Yoabu hakuja bado.