sw_2sa_text_reg/11/14.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 14 Hivyo asubuhi Daudi akamwandikia Yoabu barua, naye akaituma kwa mkono wa Uria. \v 15 Ndani ya barua Daudi aliandika hivi, "Mweke Uria mbele ya vita vikali sana, na kisha, mmwache, ili apigwe na afe.