sw_2sa_text_reg/13/27.txt

1 line
462 B
Plaintext

\v 27 Absalomu akamsihi Daudi, hivyo akamruhusu Amnoni na wana wengine wa mfalme kwenda naye. \v 28 Absalomu akawaamuru watumishi wake kusema, "Sikilizeni kwa makini. Amnoni atakapokuwa amelewa mvinyo, na nitakapowaambia, 'Mpigeni Amnoni,' msiogope muueni. Je siyo mimi niliyewaamuru? Mwe jasiri na hodari." \v 29 Hivyo watumishi wa Absalomu wakamtendea Amnoni kama walivyoamriwa. Kisha wana wote wa mfalme wakainuka na kila mmoja akapanda nyumbu wake akakimbia.