sw_2sa_text_reg/13/13.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 13 Nitakwenda wapi ili nijiepushe na aibu ambayo jambo hili litaileta juu ya maisha yangu? Na tendo hili litakuonyesha kuwa mpumbavu usiye na aibu katika Israeli yote. Tafadhali, ninakuomba uongee na mfalme. Yeye atakuruhusu unioe." \v 14 Lakini Amnoni hakuweza kumsikiliza. Kwa kuwa alikuwa zaidi akamkamata na akalala naye.