sw_2sa_text_reg/13/07.txt

1 line
444 B
Plaintext

\v 7 Ndipo Daudi katika kasri lake akatuma neno kwa Tamari, kusema, "Nenda katika nyumba ya nduguyo Amnoni na umwandalie chakula. \v 8 Hivyo Tamari akaenda katika nyumba ya Amnoni nduguye alipokuwa amelala. Akachukua donge na kulifinyanga na kuandaa mkate mbele zake, kisha akauoka. \v 9 Akachukua kikaangio na kumpa mkate, lakini akakataa kula. Kisha Amnoni akawaambia waliokuwepo, "Kila mtu na aondoke mbali nami." Hivyo kila mmoja akaondoka.