sw_2sa_text_reg/16/09.txt

1 line
346 B
Plaintext

\v 9 Ndipo Abishai mwana wa Seruya, akamwambia mfalme, "Kwa nini mbwa mfu anamlaani bwana wangu mfalme? Tafadhari niache niende nikamwondolee kichwa chake." \v 10 Lakini mfalme akasema, "Nifanye nini nanyi enyi wana wa Seruya? Pengine ananilaani kwa kuwa Yahwe amemwambia, 'Mlaani Daudi.' Nani sasa awezaye kumwambia, 'Kwa nini unamlaani mfalme."