sw_2sa_text_reg/15/27.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 27 Pia mfalme akamwambia Sadoki kuhani, "Je wewe siyo mwonaji? Rudi mjini kwa amani na wanao wawili, Ahimaazi mwanao na Yonathani mwana wa Abiathari. \v 28 Tazama nitasubiri katika vivuko vya Araba mpaka nitakapo pata neno kutoka kwenu kunitaarifu." \v 29 Hivyo Sadoki na Abiathari wakalirudish sanduku la Mungu Yerusalemu nao wakakaa humo.