sw_2sa_text_reg/16/20.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 20 Kisha Absalomu akamwambia Ahithofeli, "Tupe shauri lako kuhusu tunachopaswa kufanya." \v 21 Ahithofeli akamwambia Absalomu, "Nenda ulale na masuria wa baba yako aliowaacha kutunza kasri, na waisraeli wote watasikia kwamba umekuwa kitu kinachonuka kwa baba yako. Kisha mikono ya wote walio pamoja nawe itatiwa nguvu."