sw_2sa_text_reg/16/11.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 11 Hivyo Daudi akamwambia Abishai na watumishi wake wote, "Tazameni, mwanangu aliyezaliwa kutoka katika mwili wangu anatafuta uhai wangu. "Si zaidi sana mbenjamini huyu akatamani anguko langu? Mwacheni alaani, kwa maana Yahwe amemwamru kufanya hivyo. \v 12 Huenda Yahwe akaangalia maangaiko niliyofungiwa, na kunirudishia mema kwa jinsi nilivyolaaniwa leo."