sw_2sa_text_reg/14/30.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 30 Hivyo Absalomu akawaambia watumishi wake, "Tazameni, shamba la Yoabu lipo karibu na langu, naye ana shayiri kule. Nendeni mkalichome moto" Hivyo watumishi wa Absalomu wakalichoma moto lile shamba. \v 31 Kisha Yoabu akainuka na kwenda nyumbani kwa Absalomu akamwambia, "Kwa nini watumishi wako wamelichoma moto shamba langu?