sw_2sa_text_reg/14/04.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 4 Wakati mwanamke kutoka Tekoa alipoongea na mfalme, aliinamisha uso wake chini na kusema, \v 5 "Mfalme, nisaidie." Mfalme akamwambia, "Shida yako ni nini?" Akajibu, Ukweli ni kwamba mimi ni mjane, mme wangu alikufa. \v 6 Mimi, mtumishi wako, nilikuwa na wana wawili, wakagombana shambani, na hakukuwa na wa kuwaachanisha. Mmoja wao akampiga mwenziwe na kumwua.