sw_2sa_text_reg/06/21.txt

1 line
431 B
Plaintext

\v 21 Daudi akamjibu Mikali, "Nilifanya hivyo mbele ya Yahwe, aliyenichagua juu ya baba yako na juu ya familia yake yote, aliyeniweka kuwa kiongozi juu ya watu wa Yahwe, juu ya Israeli. Mbele ya Yahwe nitafurahi! \v 22 Nitakuwa nisiye na heshima hata zaidi ya hapa, na nitajishusha mbele za macho yangu mwenyewe. Lakini kwa hawa vijakazi uliowasema, nitaheshimiwa." \v 23 Hivyo Mikali, binti Sauli, hakuwa na watoto hata alipokufa.