sw_2sa_text_reg/02/24.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 24 Lakini Yoabu na Abishai wakamfuatilia Abneri. Wakati jua linazama walikuwa wamefika mlima wa Amma, uliopo karibu na Gia katika njia ielekeayo nyika ya Gibeoni. \v 25 Wabenjamini wakajikusanya nyuma ya Abneri na kusimama juu ya kilima.