sw_2sa_text_reg/02/22.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 22 Ndipo Abneri alipomwambia tena Asaheli, "Simama usinifuate. Kwa nini nikupige hata chini? Nitautazamaje uso wa Yoabu ndugu yako?" \v 23 Lakini Asaheli hakukubali kugeuka. na hivyo Abneri akamchoma kwa nchi ya mkuki wake, hata ukatokea upande wa pili. Asaheli akaanguka chini akafa. Hata ikawa kila mmoja aliyefika mahali pale Asaheli alipoanguka na kufa, alisimama hapo hapo.