sw_2sa_text_reg/02/20.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 20 Abneri akaangalia nyuma yake na kusema, "Ni wewe Asaheli?" Akajibu, "ni mimi." \v 21 Abneri akamwambia, "Geuka upande wako wa kulia au kushoto umshike mmojawapo wa vijana na kuchukua silaha yake." Lakini Asaheli hakugeuka.