sw_2sa_text_reg/01/11.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 11 Kisha Daudi akararua mavazi yake, na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafanya vilevile. \v 12 Walilia, wakaomboleza na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli, Yonathani mwanawe, watu wa Yahwe, na kwa ajili ya nyumba ya Israeli kwa maana wameanguka kwa upanga. \v 13 Daudi akamwambia yule kijana, "Unatokea wapi?" Akajibu, mimi ni kijana wa mgeni Mwamaleki."