\v 26 Kwa mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu; kwake asiye na hatia; unajionyesha kuwa hauna hatia. \v 27 Kwa usafi unajionyesha kuwa msafi, lakini kwa wakaidi unajionyesha kuwa mkaidi.