sw_2sa_text_reg/22/13.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 13 Makaa ya moto yalidondoka mbele zake kutoka katika radi. \v 14 Yahwe alishuka kutoka katika mbingu. Aliyejuu alipiga kelele. \v 15 Alipiga mishale na kuwatawanya adui zake--miale ya radi na kuwatupa katika kuchanganyikiwa.