sw_2sa_text_reg/19/13.txt

1 line
436 B
Plaintext

\v 13 Na mwambieni Amasa, 'Je wewe si mwili na mfupa wangu? Mungu anifanyie hivyo na kuzidi pia ikiwa hautakuwa jemedari wa jeshi langu tangu sasa na baadaye mahali pa Yoabu. \v 14 Naye akaishinda mioyo ya watu wote wa Yuda kama mtu mmoja. Wakatuma kwa mfalme wakisema, "Rudi sasa na watu wako wote." \v 15 Hivyo mfalme akarudi naye akaja Yordani. Na watu wa Yuda wakaja Gilgali kwenda kumlaki mfalme ili kumvusha mfalme juu ya Yordani.