sw_2sa_text_reg/16/07.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 7 Shimei akalaani, "Nenda zako, toka hapa, mwovu wewe, mtu wa damu! \v 8 Yahwe amelipa yote kwa ajili ya damu ya familia ya Sauli, ambaye unatawala badala yake. Yahwe ameweka ufalme katika mkono wa Absalomu mwanao. Na sasa umeangamia kwa kuwa wewe ni mtu wa damu."