1 line
290 B
Plaintext
1 line
290 B
Plaintext
\v 11 Kisha Hiramu mfalme wa Tiro akatuma wajumbe kwa Daudi, na miti ya mierezi, mafundi seremala na wajenzi. Wakamjengea Daudi nyumba. \v 12 Daudi akatambua kuwa Yahwe alikuwa amemuweka ili awe mfalme juu ya Israeli, na kwamba alikuwa ameutukuza ufalme wake kwa ajili ya Israeli watu wake. |