sw_2sa_text_reg/03/21.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 21 Abneri akamueleza Daudi, "Nitainuka na kukukusanyia Israeli wote, bwana wangu mfalme, ili kwamba wafanye agano nawe, kwamba utawale juu ya yote unayotaka." Hivyo Daudi akamruhusu Abneri kuondoka, Abneri akaondoka kwa amani.