sw_2sa_text_reg/03/09.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 9 Mungu na anifanyie hivyo, Abneri, na kuzidi, ikiwa sitafanya kwa Daudi kama Yahwe alivyomwapia, \v 10 kuuhamisha ufalme kutoka nyumba ya Sauli na kukisimamisha kiti cha enzi cha Daudi juu ya Israeli na juu ya Yuda, kutoka Dani hadi Beersheba." \v 11 Ishboshethi hakuweza kumjibu Abneri neno tena, kwani alimuogopa.