sw_2sa_text_reg/22/50.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 50 Kwa hiyo nitakushukuru, Yahwe, kati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako. \v 51 Mungu hutoa ushindi mkuu kwa mfalme wake, na huonyesha uaminifu wake wa kiagano kwa mtiwa mafuta wake, kwa Daudi na uzao wake daima."