sw_2sa_text_reg/07/15.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 15 Lakini uaminifu wa agano langu hautamwondokea, kama nilivyouondoa kutoka kwa Sauli, niliyemwondoa mbele yako. \v 16 Nyumba yako na ufalme wako utathibitishwa mbele yako daima. Kiti chako cha enzi kitakuwa imara daima." \v 17 Nathani akamwambia Daudi na kumtaarifu maneno haya yote, na akamwambia kuhusu ono lote.