sw_2sa_text_reg/07/03.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 3 Basi Nathani akamwambia mfalme, "Nenda, fanya lililo moyoni mwako, kwa maana Yahwe yupo nawe." \v 4 Lakini usiku uleule neno la Yahwe lilimjia Nathani kusema, \v 5 "Nenda na umwambie mtumishi wangu Daudi, 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: Je utanijengea nyumba ya kuishi?"