1 line
354 B
Plaintext
1 line
354 B
Plaintext
\v 11 Hivyo Daudi akamwambia Abishai na watumishi wake wote, "Tazameni, mwanangu aliyezaliwa kutoka katika mwili wangu anatafuta uhai wangu. "Si zaidi sana mbenjamini huyu akatamani anguko langu? Mwacheni alaani, kwa maana Yahwe amemwamuru kufanya hivyo. \v 12 Huenda Yahwe akaangalia taabu iliyonijia, na kunirudishia mema kwa jinsi nilivyolaaniwa leo." |