sw_2sa_text_reg/24/18.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 18 Kisha Gadi akaja siku hiyo kwa Daudi na kumwambia, "Kwea na ujenge madhabahu kwa ajili ya Yahwe katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi." \v 19 Hivyo Daudi akakwea kama Gadi alivyomwelekeza kufanya, kama Yahwe alivyokuwa ameagiza. \v 20 Arauna akatazama na kumwona mfalme na watumishi wake wakikaribia. Ndipo Arauna akaondoka na kumsujudia mfalme uso wake mpaka juu ya ardhi.