sw_2sa_text_reg/19/29.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 29 "Kisha mfalme akamwambia, "Kwa nini kueleza yote zaidi? Nimekwisha amua kwamba wewe na Siba mtagawana mashamba." \v 30 Ndipo Mefiboshethi akamjibu mfalme, "Sawa, acha achukue yote kwa vile bwana wangu mfalme amerudi salama nyumbani kwake."