sw_2sa_text_reg/15/16.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 16 Mfalme akaondoka na familia yake yote pamoja naye, lakini mfalme akawaacha wanawake kumi waliokuwa masuria wa mfalme ili walitunze kasri. \v 17 Baada ya mfalme kwenda na watu wote pamoja naye, wakasimama katika nyumba ya mwisho. \v 18 Watumishi wako wote wakaenda pamoja naye na mbele yake wakaenda Wakerethi na Wapelethi, na Wagiti mia sita wote waliokuwa wamemfuata kutoka Gathi.