sw_2sa_text_reg/24/17.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 17 Daudi alipomwona malaika aliyekuwa amewapiga watu, akamwambia Yahwe akisema, "Nimetenda dhambi, na nimetenda kwa upumbavu. Lakini kondoo hawa, wamefanya nini? Tafadhali, mkono wako na uniadhibu mimi na familia ya baba yangu!"