sw_2sa_text_reg/24/01.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 1 Kisha hasira ya Yahwe ikawaka dhidi ya Israeli, naye akamchochea Daudi kinyume chao kusema, "Nenda, ukawahesabu Israeli na Yuda." \v 2 Mfalme akamwambia Yoabu, jemedari wa jeshi, aliyekuwa pamoja naye, "Nenda upite katika kabila zote za Israeli, toka Dani mpaka Beersheba, uwahesabu watu wote, ili niweze kujua idadi kamili ya watu wanaofaa kwa vita."