sw_2sa_text_reg/23/06.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 6 Lakini yasiyofaa yote yatakuwa kama miiba na kutupwa mbali, kwa maana haiwezekani kukusanywa kwa mikono. \v 7 Ayagusaye ni lazima atumie chombo cha chuma au fumo la mkuki. Ni lazima yachomwe mahali yalipo.