sw_2sa_text_reg/23/03.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 3 Mungu wa Israeli alinena, Mwamba wa Israeli aliniambia, "Atawalaye kwa haki juu yangu, atawalaye katika hofu ya Mungu. \v 4 Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua linapochomoza, asubuhi isiyo na mawingu, wakati mche mwororo unapochipua kutoka ardhini kupitia mwangaza wa mng'ao wa jua baada ya mvua.