sw_2sa_text_reg/22/38.txt

1 line
165 B
Plaintext

\v 38 Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza. Sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa. \v 39 Niliwararua na kuwapiga; hawawezi kuinuka. Wameanguka chini ya miguu yangu.