sw_2sa_text_reg/22/10.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 10 Alizifungua mbingu akashuka, na giza totoro lilikuwa chini ya miguu yake. \v 11 Alipanda juu ya kerubi na kuruka. Alionekana katika mawingu ya upepo. \v 12 Naye akalifanya giza kuwa hema kumzunguka, akakusanya mawingu makubwa ya mvua angani.